Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/maduu/post/21250
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
pamoja na juhudi zote zinazofanyika bado kuna tatizo la lasimali na nyenzo mbalambali nyote mtakao soma nahitaji michango yenu ya hali na mali ili kuboresha shughuli za shirika tuweze kufikia lengo kwa manufaa ya jamii nyote mnaarikwa kufanya kazi na maduu
(Bila tafsiri)
Hariri
tunatafuta watu wa kujitolea kufanya kazi na MADUU WENYE MOYO WA UZALENDO
(Bila tafsiri)
Hariri
Mapambano dhidi ya umasikini na UKIMWI Ni shirika lisilo la kiserikali lililo anzishwa tangu mwaka 2006 na watu wachache waishio na VVU / UKIMWI wazo la kuanzisha asasi hii lilikuja baada ya kutafakari changamoto mbalambali zinazowakabili watu waishio na vvu /ukimwi ktk maisha yao kwa ujumla Hii ilipelekea kuanzishwa kwa mradi wa bustani ya mbogamboga ili kujipatia mbogamboga kwa ajili ya lishe lakini pia wanachama wameweza kuanzisha mradi wa ufugaji wa mbuzi wa asili...
(Bila tafsiri)
Hariri