Envaya

/maduu/post/21250: English

BaseEnglish
pamoja na juhudi zote zinazofanyika bado kuna tatizo la lasimali na nyenzo mbalambali nyote mtakao soma nahitaji michango yenu ya hali na mali ili kuboresha shughuli za shirika tuweze kufikia lengo kwa manufaa ya jamii nyote mnaarikwa kufanya kazi na maduuwith all efforts being done there is still a problem lasimali mbalambali materials will all be read I need your contributions of property to improve the situation and activities of the organization we can achieve for the benefit of all communities to work with you arikwa maduuEdit
tunatafuta watu wa kujitolea kufanya kazi na MADUU WENYE MOYO WA UZALENDOwe are looking for volunteers to work with MADUU the heart of NationalismEdit
Mapambano dhidi ya umasikini na UKIMWI Ni shirika lisilo la kiserikali lililo anzishwa tangu mwaka 2006 na watu wachache waishio na VVU / UKIMWI wazo la kuanzisha asasi hii lilikuja baada ya kutafakari changamoto mbalambali zinazowakabili watu waishio na vvu /ukimwi ktk maisha yao kwa ujumla Hii ilipelekea kuanzishwa kwa mradi wa bustani ya mbogamboga ili kujipatia mbogamboga kwa ajili ya lishe lakini pia wanachama wameweza kuanzisha mradi wa ufugaji wa mbuzi wa asili...The fight against poverty and AIDS is an NGO which is established since 2006 and few people living with HIV / AIDS the idea of ​​establishing an organization of this came after contemplating the challenge mbalambali facing people living with HIV / AIDS ktk their lives in general this resulted in the establishment a project of garden vegetables to obtain vegetables for nutrition but also members are able to establish a project raising awareness of the nature of...Edit