About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/AUG/post/103423
: English
Base
English
MLIMA KAMWALA UNAPATIKANA KIJIJI CHA SHIGHATINI NA NI MLIMA WENYE UOTO WA ASILI ,UNATIRIRISHA MAJI YAKE KWA MWAKA MZIMA NA WANAKIJIJI HUYATUMIA KWA SHUGHULI MBALI MBALI ZIKIWEMO UFUGAJI, KILIMO NA MATUMIZI YA NYUMBANI,PIA UFUGAJI WA SAMAKI KAMA UNAVYOONA BWAWA HILO . – (image) (image)
(Not translated)
Edit