| Base (Swahili) | English |
|---|---|
|
Mtaalamu wa samaki Ndugu Kissai akitoa maelezo maalum kwa Consoltant na Mkurugenzi wa Open Mind ambaye alitembelea Bwawa la ndugu Kibona kwa ushauri wa maswala mbalimbali na yeye akawa miongoni mwa mtu aliyejionea fahari ya mtanzania kwa kutumia nyezo rahisi katika kujipatia lishe na kipato. |
Dear Fish Specialist Kissai giving specific details for Consaltant and Director of Open Mind, who was visiting relatives Dam why the advice of various issues and he became one of man shall see the glory of Tanzanians to use what materials are easy to feed in obtaining income. |
Translation History
|
