| picha hiyo hapo juu ndivyo ambavyo tunategemea kufungua kituo chetu ambacho kinajulikana kama ICT4TD(Tanzanian Development)Learning Cetre. – Unavyoona hapo hiyo ni Computer Lab na screen zinakuwa kumi kumi lakini computer inakuwa moja tu kwa kila kumi.Pia unaweza kuwa na yenye uwezo wa tano au nane.Tunaziita Userful Multiplier.Huwa zinafaa sana shuleni n.k na ni rahisi kutumia pia ni cost effective kwani zina uwezo wa kupunguza matumizi kwa 80%.unakuwa na station zako kumi kumi na katika... | (Not translated) | Hindura |