Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/COEF/topic/25017/add_message
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
ARDHI, UWEKEZAJI NA HATMA YA MTANZANIA – Jamani kila kukicha utasikia mwekezaji kapewa maelfu ya ekari za ardhi kwa ajili ya uwekezaji. Ardhi inayotwaliwa ni ile yenye makazi ya watanzania wanyonge. Hali ya kuuza nchi kwa vipande ikiendelea, hatima ya watanzania itakuwaje? Tujadili
(Bila tafsiri)
Hariri
Wabunge wa kambi ya upinzani wamependekeza posho za vikao vya wabunge zikatwe ili pesa itakayokatwa iwekwe kwenye kasma nyingine za miradiya maendeleo. Makada wa CCM, wabunge na Spika wao hawataki posho hizo ziguswe. Wnasahau yafuatayo: – 1. Kulipwa mara mbili kwa kazi ileile ni ufisadi. – 2. Kipatao wanachokipata kutokana na posho za vikao hakikatwi kodi, na huu ni ufisadi. – 3. Posho wanazopata ni kubwa zaidi kuliko mishahara ya watumishi wengi. ...
(Bila tafsiri)
Hariri
Watanzania laleni. Mtajiju
(Bila tafsiri)
Hariri
POSHO ZA WABUNGE NA KEKI YA TAIFA
(Bila tafsiri)
Hariri