Ibitwerekeyeho
Ikarita
Shakisha
Korera ubushake
Inkuru
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Injira
/bwjmt/post/4
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
Baraza la Watoto wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania litaheshimu haki zote za watoto na halitambagua mtoto yeyote kutokana na utaifa, ukabila, pahala anapotokea, maoni yake ya kisiasa, rangi, dini, jinsia, hali yake ya maisha, ulemavu, au kuathirika na virusi vya UKIMWI. Mikataba ya kimataifa kuhusu haki za mtoto ambayo imesainiwa na kuridhiwa na Tanzania ndio itakayokuwa mwongozo rasmi wa shughuli za Baraza. Baraza litafuata sera na taratibu zitakazoundwa na Baraza likisaidiwa na washauri na au...
(Not translated)
Hindura
Katiba ya Baraza la Watoto wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (document)
(Not translated)
Hindura