Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Kuratibu na kusimamia makundi ya watu wanaoishi nA VIRUSI vya ukimwi na UKIMWI, WAJANE na YATIMA, na VIJANA Tanzania. Kutoa fursa kwa vina na watoto waliopo katika mazingira hatarishi kujitambua na kufahamu haki zao. Pia kuhamasisha jamii juu ya umuhimu wa kutambua makundi hayo. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe