Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/fmzeituni/post/59397
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Mzeituni Foundation ilipata fursa ya kushiriki katika maonesho ya 6 ya Asasi za kiraia(AZAKI) Bungeni Dodoma,yaliyo andaliwa na The Foundation For Civil Society kuanzia tarehe 28-30/may/2013 ikiwa ni kati ya asasi zilizopo nchini toka Bara na Zanzibar.Hapo ni jinsi mabanda ya Asasi mbalimbali yalivyokuwa yamepambwa na kuonesha kazi zinazofanyika katika asasi zao.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Washiriki mbalimbali wa MAONESHO YA AZAKI BUNGENI DODOMA,wakipita katika mabanda ya wenzao kuona na kujifunza kupitia kazi zinazofanywa na Asasi hizo. – Muda wa siku tatu za maonesho ulikuwa wa kufana maana kupitia kuwaonesha wabunge wa Bunge letu la Jamhuri ya muungano kazi zetu tumezidi kuwaonesha ni namna gani sisi kama AZAKI tunao mchango mkubwa katika kuleta MAENDELEO ya Taifa letu la Tanzania.
(Bila tafsiri)
Hariri