About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/fmzeituni/post/59405
: English
Base
English
(image) – Siku ya mjadala wa utoaji maoni ya rasimu ya katiba mpya katika hoteli ya DABUYA tarehe 3-4/8/2013. Mjadala huu uliandaliwa kwa ushirikiano wa Mzeituni Foundation na CHAWATA Mkoa wa Mwanza,na kuwaleta pamoja wawakilishi wa walemavu kutoka makundi mbalimbali katika wilaya za Magu,Ukerewe,Karagwe,Ilemela na Nyamagana. Mjadala ulifunguliwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Walemavu Tanzania Mkoa wa Mwanza.Katika ufunguzi wake mwenyekiti aliwahimiza na...
(Not translated)
Edit