Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/elimishatz/post/50707
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Shirika la ELIMISHA linatoa kipaumbele katika kuhamasisha michezo ya watoto kwa ajili ya kuibua na kukuza vipaji, ingawa maeneo mengi ya vijijini ambako mashirika mengi hayafiki kunachangamoto nyingi kama unavyoona watoto hawa wakiwa wamekosa vifaa muhimu vya michezo. (image)
(Bila tafsiri)
Hariri