Envaya

/afsc/projects: English: WIgLkHa1xEkPLzaUBquT0qFJ:content

Base (Swahili) English

 

MALENGO YA JUMLA YA ASASI  NA KAZI  ZAKE;-

 1. Kutoa huduma za afya kwa jamii hususan vijijini.
 2. Maeneo yasiyo na shule tutapeleka huduma hiyo, sh/msingi, sekondari na sh/ za ufundi.
 3. Utoaji wa elimu ya hifadhi ya mazingira.
 4. Utunzaji wa misitu ya asili   & vyanzo vya maji milimani.
 5. Upandaji miti na kuzuia uchomaji moto misitu.
 6. Kutoa elimu ya kilimo.
 7. Utengenezaji wa mabwawa ya maji kwa uvunaji maji ya mvua.
 8. Kilimo cha umwagiliaji na ufugaji bora.
 9. Kuwasaidia walemavu wa viungo & albino.
 10. Kuwasaidia yatima na watoto wa mitaani kutokana na mahitaji yao.
 11. Kusaidia wazee na wale wenye mahitaji maalumu.
 12. Kutoa elimu ya uzalishaji chakula na utunzaji.
 13. Kupunguza umasikini vijijini kwa kuanzisha miradi ya uzalishaji mali.
 14. Kuondoa tofauti za udini na ukabila.
 15. Kushughulikia upatikanaji wa vyeti vya kuzaliwa.

 

Receive "MKUVI" to goal ALLIANCE FOR SOCIAL CHANGE
Dear "MKUVIi" is the acronym of the words; - >> new method of Fighting Rural Poverty << MKUVI will allow you to have a broad scope in your development activities, individual and nation as a whole. Do not delay dragged to the person or people come to learn from the place where you learn to move beyond some one can not come to buy you need to protect your family or being deceived learn techniques from the very latest, "MKUVI" learn and A.F.S.C. Our service read the guidelines below: -
This project will be unto District Five; 1.KILINDI. 2. DMP. 3. KONGWA. 4. controversies. 5. KILOSA.
 
PROJECT MKUVI must comprehensible. Poverty and ignorance is darkness hid cracking Tanzanian society seem like it does not exist even as it has positive thoughts redeem existing in cramped conditions, but ignorance and poverty is a barrier to moving mbele.We hold answers are found not only in word but in deed. "Welcome Tz country of milk and honey ". AFSC. Present project training through the Internet, called Project Kuvi.
Training is provided: - A. commercial poultry farming. B. Opening up trade with little capital. C. vocational training. D. Adaptation to climate change. E. Dealing with poverty. F. Methods of livelihood. G. The use of solar energy.
We offer these courses for groups of at least 7 and not more than 15.Na each group registered us be recognized by the Corporation to obtain books and documents for training, we will pursue fully trained and always will be assembled with the teacher who will be hard, will be given priority, this project teased years changamkia two fulsa, will be a good learning opportunity will unite with the major stakeholders of development, already enabled more; -
Contact the Director of Education that will help: -
  
With these numbers: - +255 782 627 388. +255 626 758 257.
 
EMAIL: - afscorganization@gmail.com.
WEBSITE: - https://envaya.org/AFSC
Face book home PSDC

IPOKEE “MKUVI” ILI UFIKIE   MALENGO     ALLIANCE   FOR SOCIAL CHANGE

Ndugu “MKUVI”   Ni kifupi cha maneno haya;- >>Mbinu mpya ya Kupambana na Umasikini Vijijini<< MKUVI itakufanya uwe na upeo mpana katika shughuli zako za maendeleo, binafsi na Taifa kwa ujumla. Usichelewe kuvutana na mtu au watu njoo jifunze kutoka hapo ulipo nanyi wengine jifunzeni kusonga mbele zaidi hakuna atakae kuja kukununulia mahitaji au kukutunzia familia usidanganywe jifunze mbinu ya kutoka karibuni sana, “ MKUVI” jifunze na A.F.S.C. huduma zetu soma mwongozo hapo chini;-

Mradi huu nikwa   wilaya Tano; 1.KILINDI. 2. MPWAPWA. 3. KONGWA. 4. KITETO. 5. KILOSA.

 

MKUVI PROJECT lazima kieleweke. Umasikini na ujinga ni giza nene linalo ificha jamii ya kitanzania kuonekana kama haipo hata kama ina mawazo chanya ya kujikomboa katika hali duni iliyopo, lakini ujinga na umasikini ni kikwazo cha kusonga mbele.Tukishikamana majibu yanapatikana si kwa maneno tu bali kwa vitendo .”welcome   Tz country of milk and honey”.

AFSC. Inakuletea mradi wa mafunzo kwa njia ya Mtandao, Mradi   uitwao MKUVI.

Mafunzo yanayotolewa ni:- A. Ufugaji wa kuku kibiashara. B. Kufungua biashara kwa mtaji mdogo. C. Mafunzo ya ufundi. D. Kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. E. Kukabiliana na umasikini. F. Njia za kujikimu kimaisha. G. Matumizi ya nishati ya umeme jua.

Tunatoa kozi hizo kwa vikundi vya watu wasiopungua 7 na wasiozidi 15.Na kila kikundi kitakachojiandisha kitatambuliwa na Shirika ili kupata vitabu na documents kwa mafunzo, tutafuatilia mafunzo kikamilifu na kila wakati watakutanishwa pamoja na mwalimu watakao kuwa na bidii, watapewa kipaumbele, mradi huu niwa miaka miwili changamkia fulsa, watakao kuwa na nafasi nzuri kimasomo tutawaunganisha na wadau wakubwa wa maendeleo, tayari kwa kuwezeshwa zaidi;-

Wasiliana na Mkurugenzi wa elimu hiyo atakusaidia ;-

Kwa namba hizi ;- +255 782 627 388. +255 626 758 257.

EMAIL;- afscorganization@gmail.com.

WEBSITE;- https://envaya.org/AFSC

Face book home page;- DPSC

 

 


 

(Not translated)

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register