Fungua

/tssf-org-tz/post/77008: Kiswahili

AsiliKiswahili
TAARIFA KWA UMMA – YAH: TAMKO LA SHIRIKA LA TSSF DHIDI YA UNYANYASAJI WA KIUTU ALIOFANYIWA PROF. IBRAHIM LIPUMBA, MWENYEKITI WA TAIFA WA CUF, NA UKAWA – Shirika la Kusaidia Jamii Tanzania (Tanzania Social Support Foundation) linatoa tamko la kulaani vikali vitendo vya Jeshi la Polisi wa Tanzania vinavyofanyika kwa ajili ya kuwanyanyasa viongozi, wanachama, wafuasi,...(Bila tafsiri)Hariri