About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/tacaso/topic/123718
: English
Base
English
Ugonjwa huu kwa wengi ni ngumu kuuelezea. Kwani imani potofu na kukosa elimu sahihi hupelekea kila mtu kuwa na mtazamo wake binafsi. – Tungependa kusikia unaufahamu vipi au umeusikia ni ugonjwa wa aina gani na tiba yake ni nini?
(Not translated)
Edit
Je, Unaelewa nini kuhusu ugonjwa wa Saratani/kansa?
(Not translated)
Edit