| SI KILA UVIMBE NI SARATANI
Uvimbe ni nini? – Uvimbe ni ukuaji wa chembe hai za mwili(seli) usio wa kawaida na ambao hauwez kudhibitiwa na mwili. – Ukuaji huu huusisha kuaribika wingi(namba) pamoja na umbo la chembe hai za mwili. – KUNA AINA NGAPI ZA UVIMBE? – Zipo aina mbili za uvimbe nazo ni – (a) Uvimbe usio na madhara(Benign) – (b)... | (Not translated) | Edit |