| Asili (Kiswahili) |
Kiswahili |
- Kuyaleta pamoja makundi ya wamama wajane na watoto waishio katika mazingira magumu na hatariishi
- Kushughurikia matatizo yanayowakuta wamama wajane na wasiojiweza katika maisha ya sasa na waishio na virusi vya ukimwi na ukimwi
- Kusimamia na kuratibu shughuri zote ziwakutazo watoto waishio katika mazingira hatarishi na kuwasaidia wajitambue katika yale yawahusuyo
|
|