Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Wapa baada ya kufanya mafunzo ya utawala bora kwa viongozi wa kata ya mbezi na wananchi wa kata hii ya mbezi , keshotarehe 25/05/2010, tutafanya tathimin ya mafunzo ya utawala bora katika ofisi za wapa zilizoko kata ya mbezi wanaohusika na tathimin hii wameshapewa taarifa, karibuni sana.. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe