Asili ((unknown language)) | Kiswahili |
---|---|
Kuwezesha wanawake na wadau wa makudi mengine ya jamii kujua haki zao juu ya ukimwi hasa kujikinga na kuwawezesha kujua mbinu mbali mbali za kupambana na kupunguza umasikini. Kuhamasisha na kutoa msaada mbali mbali katika jamii. Kujihusisha na kampeni ya utawala bora kwa kujenga uelewa kwa wananchi ili kujenga jamii inayo wajibika. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe