Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
kuelimisha wakina mama wajue haki zao na wajitambue na kuwapeleka panapohusika. Pia kuelimisha jamii kwa ujumla na kuinua halizao za kujipatia kipato, kwa kujikwamua katokana na hali ya umasikini. kuunda vikundi mbali mbali vywa ujasilia mali, hata kilimo bustani na mboga mboga na usidikaji, michezo. kugundua vipaji mbali mbali vya vijana katika michezo.
|
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe