Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/sawata-mara/post/121355
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
(image) – Kwenye mradi uliotekelezwa na SAWATA MARA chini ya ufadhili wa "HelpAge International" jamii ilishirikishwa kuwajengea nyumba wazee wasiokuwa na uwezo. Hapa mzee mmoja anajengewa nyumba katika Kata ya Suguti, kijiji cha Kusenyi.
(Bila tafsiri)
Hariri