Log in

/TKT/history: English: WIgOPv3U235gf1T427lDmDYi:content

« Previous   ·   Next »
Base (English) English

Taasisi iliainishwa kufuatia wazo miongoni mwa wanachama watano; John Castor Mbonde, Patrick John Ndomba, Anna William Mingwe, Marco Merkion Ndimbo na Aufi Nyoni Ndangwala tuliokutana rasmi tarehe 30 mei 2014 la kusaidia kuchangia katika maendeleo ya wanajamii kwa ujumla na hivyo kuazimia kuunda Taasisi yao Isiyo ya Kiserikali (NGO) na kuamua kuanza mchakato wa kuandika katiba kufikia mwishoni mwa mwaka 2014 na kuuzindua rasmi umoja huu ukiwa na wanachama waanzilishi wanaokidhi idadi ya kuwezesha kusajiliwa kwake.

Kikao maalum kiliitishwa kuijadili na kuipitisha katiba iliyopendekezwa na kuchagua kamati ya utendaji na uongozi wa Taasisi

John Castor Mbonde na Patrick John Ndomba walichaguliwa kuwa mwenyekiti na katibu na Bi Anna William Mingwe mweka hazina wa muda wa Taasisi.

Mchakato wa kuandika katiba, kutafuta wanachama waanzilishi ulianzishwa mara moja.

Kikao maalum cha kupitisha katiba ya Taasisi kilifanyika Jumatatu ya tarehe 1 Disemba 2014 shule ya sekondari Mfaranyaki - Songea mjini kujadili na kuwapokea wanachama wapya, kujadili ibara na vifungu vya katiba na kuchagua viongozi wa kudumu. Wajumbe wafuatao walihudhuria na ndio wanaotambulika kuwa ni waanzilishi wa Taasiai hii;

 1. John Castor Mbonde                                      
 2. Patrick John Ndomba                              
 3. Anitha Kasimba                                      
 4. Anna William Mingwe                              
 5. Aziza Nyamka Pilly                                           
 6. Peter Ernest Mlowe                                          
 7. Marco Merkion Ndimbo 
 8. Aufi Nyoni Ndangwala  
 9. Lydia Simon Njowoka  
 10. Leah Johnson Mingwe 
 11. Gloria Edward Kamanga
 12. Mfaume James Lukuwi

Viongozi wa kwanza waliochaguliwa Kuiongoza na kuisimamia Taasisi ni;

 1. Ndugu John Castor Mbonde - Mwenyekiti wa Taasisi na Kamati ya Utendaji
 2. Ndugu Patrick John Ndomba - Katibu wa Taasisi na Kamati ya Utendaji
 3. Bi Anna William Mingwe - Mweka hazina wa Taasisi na Kamati ya Utendaji
 4. Bi Gloria Edward Kamanga - Mwakilishi wa wanachama na mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Taasisi
(Not translated)

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register