Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/KIUNGONET/post/13
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
(image) – Ndugu,John B.Mosha-Mkurugenzi Mtendaji-KIUNGONET akimkaribisha Mgeni rasmi na Kutoa neno kwa Washiriki.Mosha amesisitiza wananchi kutumia Fursa ya Mdahalo kutoa kero zao kwa kuwa Ni Nadra viongozi kukutana na wananchi kwa lengo la kujibu Kero zao.
(Bila tafsiri)
Hariri