Log in

/SHIMMAKUTA/news: English

BaseEnglish
MTANDAO WA MASHIRIKA YASIYOKUWA YA KISERIKALI KATIKA WILAYA YA MTWARA wameendesha mafunzo ya siku mbili juu ya kuwajengea uwezokuhusu utetezi wa masuala ya jinsia na ukimwi kwa Azaki wanachama juzi na jana katika manispaa ya Mtwara yaliyofadhiliwa na GIZ (image) Washiriki wa mafunzo ya kujenga uwezo kuhusu utetezi wa masuala ya jinsia na ukimwi kwa Azaki yaliyofadhiliwa na GIZ.NETWORK non-governmental organizations in the District of MTWARA have conducted a two-day training on building uwezokuhusu advocacy on gender issues and AIDS CSOs members yesterday and yesterday in Mtwara municipality yaliyofadhiliwa and GIZ (image) Participants of the training capacities on gender advocacy AIDS CSOs yaliyofadhiliwa and GIZ.Edit
(image) – Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya kujengewa uwezo juu ya kuendesha shirika la SHIMMAKUTA wakimsikiliza mweka hazina wa Msoapo Bw. Kwiyunga hayupo pichani, akieleza walikotoka mpaka walipo katika kuendesha shirika lao lisilo la kiserikali.(image) – Some participants of the training capacity of managing the organization's SHIMMAKUTA they listened to the treasurer of Mr. Msoapo. Kwiyunga is not pictured, explaining where they came from until they run their organization in a non-governmental organizations. ,,
(This translation refers to an older version of the source text.)
Edit
(image) Washiriki wa mafunzo wakiwa katika kazi za vikundi(Not translated)Edit
(image) – Mweka hazina wa Msoapo Bw. Mstapha Kwiyunga akiongea na viongozi na wanachama wa SHIMMAKUTA hawapo pichani, wakiwa katika ziara ya mafunzo katika Ofisi za Msoapo mjini Mtwara.(image) – Msoapo treasurer Mr. Mstapha Kwiyunga speaking to leaders and members of SHIMMAKUTA are not pictured, in a study tour in the Office of Msoapo in Mtwara.
(This translation refers to an older version of the source text.)
Edit
Na Godwin Msalichuma, – Newala, Mtwara – Septemba 29, 2011 – JAMII katika Wilaya ya Newala wametakiwa kuanzisha madarasa ya elimu ya watu wazima ili kuondokana na tatizo la ujinga na umaskini uliokothiri haswa kipindi hiki Tanzania inavyoadhimisha miaka hamsini ya uhuru. – Hayo yalisemwa hivi karibuni na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya hiyo Bw. Chitwanga Ndembo katika maadhimisho ya juma la elimu ya watu wazima yaliyofanyika kiwilaya katika...And Godwin Msalichuma, – Newala, Mtwara – Sept. 29, 2011 – COMMUNITY District in Newala have to start classes in adult education to alleviate the problem of illiteracy and poverty, especially this time okothiri Tanzania inavyoadhimisha fifty years of independence. – That was written recently by the Chairman of the District Council that Mr. Ndembo hit in the weekly celebration of adult education held in the village of Mkunya...
(This translation refers to an older version of the source text.)
Edit
(image) – Washiriki wa mafunzo ya kujengea uwezo asasi ya SHIMMAKUTA(image) – Participants of the training institution capacity building SHIMMAKUTA
(This translation refers to an older version of the source text.)
Edit
(image) – Baadhi ya washiriki wakiwa katika kazi za vikundi(image) – Some participants in the group work
(This translation refers to an older version of the source text.)
Edit
(image) Mwezeshaji wa mafunzo ya kujenga uwezo kuhusu utetezi wa masuala ya jinsia na ukimwi kwa Azaki Bw.Baltazari Komba akiwa katika kipindi ukumbini hapo.(image) Facilitator training for capacity building on gender advocacy and AIDS to CSOs Bw.Baltazari Komba at the venue over there.
(This translation refers to an older version of the source text.)
Edit