| Base (Swahili) | English |
|---|---|
UTEUZI WA MSHAURI WA MASWALA YA AFYA WA SHIRIKA.Mkurugenzi wa shirika la AHF nchini Tanzania bwana Albert.T.Msafiri amemteua rasmi Dr Oswad Lyapa kuwa mshauri wa shirika hilo katika maswala ya afya, uteuzi huo umethibitishwa na Dr. Frank Mukiza ambae ni mkurugenzi wa shirika hilo nchini Uingereza. Pia Dr Oswad atakua na jukumu la kuongoza timu ya madaktari na wauguzi watakao jitolea kutoa huduma za afya sehemu mbalimbali ndani na nje ya inchi.Dr. Oswad ambaye kwa sasa yupo katika hospitali ya mwananyamala jijini Dar es salaam amepoke kwa furaha kubwa uteuzi huo na kuaidi kutekeleza wajibu wake kwa bidii na ufanisi mkubwa. Pichani ni Dr Oswad Lyapa |
APPOINTMENT OF ADVICE TO THE HEALTH ISSUES OF THE CORPORATION. Director of the AHF organization in Tanzania master Albert.T.Msafiri has officially appointed Dr. Oswad Lyapa a consultant agency in matters of health, the appointment was confirmed by Dr. Frank offend, who is director of the agency in the UK. Dr Oswad will also become responsible for leading a team of doctors and nurses who will volunteer to provide health services in various places inside and outside the inchi.Dr. Oswad who is currently in hospital in Dar es salaam Mwananyamala was thrilled to poke the appointment and kuaidi diligently implement its obligations and greater efficiency. Pictured is Dr Oswad Lyapa |
Translation History
|
