Dar es Salaam Flooding Community Survey – Envaya is collecting information and opinions from civil society organizations and community members in Dar es Salaam about the impact of the recent flooding and the needs of your community. – Envaya will share your responses with government, NGOs, and the international community to help mobilize recovery efforts. – Using your Envaya account, you can submit this survey multiple times with... | Utafiti wa jamii kuhusu hali ya mafuriko jijini Dar-es-salaam – Envaya inakusanya taarifa na maoni kutoka kwa asasi za kiraia na wanajamii wa Dar-es-salaam kuhusu athari na uharibifu uliotokea kutokana na mafuriko yaliotokea mwezi december mwaka jana na mahitaji ya jamii kutokana na hali hiyo ya mafuriko. – Envaya itagawa taarifa zenu serekalini, kwenye asasi, na jamii ya kimataifa ili kuhamasisha kuhusu ujenzi wa taifa letu baada ya maafa haya. ... | Hariri |