Injira

/envaya/post/115497: Kinyarwanda

BaseKinyarwanda
Tanzania educational motivation alliance (TEMOA) tuna his high I lush a na uelimishaji na uhamasishaji wa maendeleo ya elimu nchini Tanzania hasa maeneo ya vijijini. – Tunafanyakazi jwa kushirikiana na wadau wote wa maendeleo ya elimu hapa nchini. Shirika letu linajifunza mengi kupitia mijadala hii na kwasasa tumeandaa mradi wa uhamasishaji utakaokwenda kwa jina la KYELA academic champions awards. tunatarajia kuwahamasisha vijana walioko shuleni kufanya vizuri ktk elimu. tunakabiliwa na...(Not translated)Hindura
hello, thanks and be blessed.(Not translated)Hindura
Sisi Wazazi wa Watoto wenye Ulemavu wa Mtindio wa Ubongo na Viungo tunaopata huduma katika Hospitali na vituo vya CCBRT tumeamua, baada kupata semina kuhusu ulemavu wa mtindio wa ubongo na wa viungo tarehe 21/04/2012 katika Hospitali ya CCBRT Msasani ambapo pamoja na mambo mengine washiriki walijifunza kuhusu chanzo cha Ulemavu wa Mtindio wa Ubongo na viungo, tiba na malezi kwa ujumla; kuunda chama kitakachosimamia haki za watoto wenye ulemavu wa mtindio wa Ubongo akili na Viungo Tanzania,...(Not translated)Hindura
HI Mwembere! – Many thanks for the message you registered through our web. We are – scattered almost all in the field. Once we are back in office we will – respond to your concern. Thanks again for being interested in reading us – through our web. – Leonard Mathew (HRO)(Not translated)Hindura
Ahsante sana kaka,Kwa sasa NGO yetu haina shughuli zozote kwa hiyo itakuwa vigumu kufanya lolote ila nashukuru kwa kuonyesha moyo wa ushirikiano. AhanteTimothy AchimpotaMkurugenzi mtendaji wa Morogoro Development Organization(MODEO)(Not translated)Hindura
hello. – Je! Umekataa mkopo kwa Kampuni ya Mikopo ya bandia, Je unahitaji Mkopo wa Haraka kulipa Bili yako, Je, unahitaji mikopo isiyo na uhakika, Je! Unatafuta mkopo wa biashara? mkopo wa nyumba, mkopo wa gari, mkopo wa mwanafunzi, mkopo wa kuimarisha madeni, mji mkuu wa mradi, nk .... tumefungua fursa ya kifedha Kufadhili kwa wafanyabiashara na watu binafsi kwa kiwango cha chini na cha bei nafuu cha asilimia 2%. ikiwa una nia ya kuchukua mkopo wa haraka? Tafadhali wasiliana nasi leo...(Not translated)Hindura
Haya asante! – Sent from my Huawei Mobile – Envaya <web@envaya.org> wrote:(Not translated)Hindura
Tunawashukuru Envaya kwa taarifa nzuri na yenye manufaa tunaanza kiufanyia kazi ,inawezekana ufadhili wa ndani ukaleta mafanikio ya haraka kuliko kukaa na kusubiri wafadhili toka nje .(Not translated)Hindura
Habari ndugu zetu wote! tunatumai muko sawakatika kuendeleza jamii katika nyanja mbali mbali, sisi Jumuiya ya Tawabina tunazipongeza NGO zote kwa harakati tunazoziendesha, tunawanasihi tuwe wa kweli na tutangulize maslahi ya jamii kabla ya kueka mbele maslahi yetu. maslahi yetu yatakuja baada ya kuizingati jamii yetu ya Watanzania. Hongera nyote.(Not translated)Hindura
ahasante tunaendelea kunufaika na harakati zinazo endelezwa na asasi zisizo za kiraia tanzania. kwa kweli zimekua zikishiriki moja kwa moja kwa jamii katika kutatua shida zao.mimi nikiwa mnufaika wa miradi jitihada hizo nnafurahi sasa. mafunzo hayo ya namna ya kutumia jiko hilo. nnayapeda mana mimi ni mdau wa kuhifadhio mazingira.(Not translated)Hindura
African Rural Press in Action is receiving different burning issues which may act as base on making planning on tracking them and bring sustainable development, for more information about the organization visit www.envaya.org/rural-media4-change(Not translated)Hindura
NETWORK FOR VULNERABLES RESCUE TANZANIA (N.V.R.F) – Dear friends, greetings from Network for Vulnerable Rescue Foundation (N.V.R.F) -Tanzania – We are honored to write to you and I would like to give a brief description about N.V.R.F and our request. Network for Vulnerable Rescue Foundation (N.V.R.F) is a not for profit, non government and charity organization established on 2008 with registration No 00002196 incorporated under the provision of the Board...(Not translated)Hindura
AFRICAN RURAL PRESS IN ACTION (ARUPA) based in Dodoma for 17 years with agents in Mwanza, Mara, Kagera, Singida, Manyara, Tabora and Morogoro is coming up with a long term strategic plan incorporating both humanitarian aid and media services. The Plan seeks to empower both vulnerable adolescent girls and teen-mothers with special focus in sexual and reproductive health education, life skills, entrepreneurship skills and small scale projects, HIV/AIDS Control awareness and small scale saving...(Not translated)Hindura
Very promising project(Not translated)Hindura
SHIMASETA bado inaendelea kujishughulisha na kazi zake za kawaida, ingawa watendaji wake hufanya kazi hizo katika hali ya kujitolea kulingana na kuwa Asasi ni changa kwa kuwa hali ya uchumi haijakua. Wito wetu kwa Asasi za kiraia nchini kuwa, kila itakapowezekana tuwe na shughuli za kujiwezesha kuongeza kipato. Tufanye kazi zetu kwa bidii na ushirikiano kwa lengo la kusonga mbele.(Not translated)Hindura