Envaya

/envaya/post/115497: Kiswahili

AsiliKiswahili
KASODEFO ni shilika lililo sajiliwa mwaka2010 lina elimisha jamii katika idala zifuatazo.Elimu,Afya,Mazingira,Kilimo,Ujasiliamali,Haki za binadamu na utawala bora katika Afya tumejikita katika Maralia,Vvu na Ukimwi shilika letu liko katika wilaya mpya ya Kalambo mkoani Rukwa nchini Tanzania kwanza tuna washukulu ENVAYA kwa kutuunganisha kimawazo. NGOs za Tanzania zina kabiliwa na tatizo la kifedha.nahili tunaweza kulimaliza endapo tutashilikiana kwa pamoja kwani umoja ni nguvu utengano ni...(Bila tafsiri)Hariri
Jima LA kampuni yetuni,AGRIDAPRODUCT T LTD ofisi iko dar Es salaam,Mbagala KTM.(Bila tafsiri)Hariri
Hope Empowerment and Development Organization(HEDO) tupo Usariver Arusha,tunawashukuru envaya kwa kituunganisha na mashirika mengine,tunaomba ushauri namna ya kupata fedha za kuendeleza shule yetu ya chekechea kama mnafahamu mashirika yanayosaidia tafadhali tuwasiliana kwa email hedotza@yahoo.co.uk au tembelea tovuti yetu envaya.org/hedoTunapokea ushauri wa kuboresha shughuli zetu ahsanteni – Eunike= Mwenyekiti(Bila tafsiri)Hariri
Naitwa Victor Bakamanya no mwanzilishi name MKT wa asasi ijulikanayo kwa jima la Kigoma Youth Foundation-kyf; Naomba ushilikiano wenu contacts 0759544073.(Bila tafsiri)Hariri
KARIBU SANA! Piga wakati wowote kesho kuanzia saa 6 tutakuwa tumemaliza – pilika za Muungano. – Kila la kheri! – Daniel B. Msangya – President of ARUPA – African Rural Press in Action – P.O. Box 2869, DODOMA. – Mobile: +255 (0) 755 893 303 – E-mail: benno.apondo@gmail.com or arupatanzania@gmail.com – Website: www.envaya.org/rural-media4-change – Social Media: www.facebook.com/arupa-african-rural-press-in-action.com (FB: ...(Bila tafsiri)Hariri
ahsanten sana kwa wale wote wanaotoa ushirikiano wathati – 2015-01-29 19:24 GMT+03:00 Envaya <web@envaya.org>:(Bila tafsiri)Hariri
Ahsante nawe.Karibu kwani ni vizuri kusaidiana kwa kupeana mawazo.(Bila tafsiri)Hariri
Habari,mm najishughurisha na Kilimo Ufugaji,na Ufugaji ya nyuki ktk mkoa wa mororogo Wilaya ya kilos a Kata ya mikumi .kupitia kampuni iliyo sajiliwa kwa mujbu wa sheria ,je naweza kujisajili namm ktk hizi engos?maana sisi pia bado niwachanga ktk kuendesha shughuri nzima ya hasa Ufugaji nyuki kwa sasa tuna Mizinga 25 ,natumelima Mazao mbalimbali ekari 10,tuna mifugo mbuzi ,kuku na bata wanaendelea vzr pia.lengo tupate ushauri wakitaalmu ili tuweze kufanya kazi zetu kwa fauda.asante,0769036789.(Bila tafsiri)Hariri
Lengo la mjadala ni zuri lakini inawezekana wengi hawajalielewa. Tatizo ni lugha au vipi ? Lengo ni kubadilishana mawazo na uzoefu juu ya utafutaji rasilimali kwa ajili ya asasi zetu:mbinu gani zenye uwezo mkubwa wakufanikiwa na zipi zenye uwezo mdogo wa kufanikiwa; na kwa nini. Mambo gani ya kuzingatia au kuepuka nk nk.(Bila tafsiri)Hariri
Kama ada, OLAI inaendelea kufanya shughuli zake kuielimisha jamii kwa kuipatia elimu ya sheria ya ardhi Na. 5 ya vijiji ya mwaka 1999. Wito wangu kwa wadau hususan kwa NGOs popote, tufanye kazi zetu kwa uadilifu wa hali ya juu kwa lengo lilelile la kuiona jamii inakuwa na mabadiliko na hatimae kujiletea maendeleo yatakayoboresha maisha yao. Ingawa mashirika mengi yasiyo ya kiserikali hufanya shughuli zake pasipo faida, juhudi za kiutendaji zifanywe kwa uadilifu ili kuijengea imani kubwa jamii,...(Bila tafsiri)Hariri
Bw Hassan, ss NGEDEA tunaomba kufahamu ni taasisi au asasi ipi inatoa mikopo kwa asasi hizi zetu? – Asante, – Athanas – Envaya <web@envaya.org> wrote:(Bila tafsiri)Hariri
Tumeona tuchambue wazo lenu na kulimega mafungu matano: – Kujenga Uwezo wa wanachama wenu na viongozi wa Kikundi/Shirika/ Chama au – Asasi yenu kwa pamoja au kwa nyakati tofauti kwa: – a) Kubainisha mahitaji ya msingi (vipaumbele) – b) Kuangalia udhaifu wa asasi na Uwezo wa Asasi na kujibobeza katika – jambo moja au kadhaa – c) Kuingia kwa undani katika dira ya Asasi (mtazamo, imani, madhumini – na shughuli) – d) Kuongeza kipato (fund...(Bila tafsiri)Hariri
HelpMsaadaHariri
SoftwareProgramuHariri
Get InvolvedShirikiana nasiHariri