Log in

/envaya/post/115497: English: CMx9zWoO73OBO5irJZzSsTXJ:content

« Previous   ·   Next »
Base (English) English
Habari,mm najishughurisha na Kilimo Ufugaji,na Ufugaji ya nyuki ktk mkoa wa mororogo Wilaya ya kilos a Kata ya mikumi .kupitia kampuni iliyo sajiliwa kwa mujbu wa sheria ,je naweza kujisajili namm ktk hizi engos?maana sisi pia bado niwachanga ktk kuendesha shughuri nzima ya hasa Ufugaji nyuki kwa sasa tuna Mizinga 25 ,natumelima Mazao mbalimbali ekari 10,tuna mifugo mbuzi ,kuku na bata wanaendelea vzr pia.lengo tupate ushauri wakitaalmu ili tuweze kufanya kazi zetu kwa fauda.asante,0769036789.
(Not translated)

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register