Log in

/envaya/post/115497: English: CMuuXgVsiMNcLMqljOPjaaHB:content

« Previous   ·   Next »
Base (English) English
KASODEFO ni shilika lililo sajiliwa mwaka2010 lina elimisha jamii katika idala zifuatazo.Elimu,Afya,Mazingira,Kilimo,Ujasiliamali,Haki za binadamu na utawala bora katika Afya tumejikita katika Maralia,Vvu na Ukimwi shilika letu liko katika wilaya mpya ya Kalambo mkoani Rukwa nchini Tanzania kwanza tuna washukulu ENVAYA kwa kutuunganisha kimawazo. NGOs za Tanzania zina kabiliwa na tatizo la kifedha.nahili tunaweza kulimaliza endapo tutashilikiana kwa pamoja kwani umoja ni nguvu utengano ni uzaifu kwaiyo tunaomba wadau wote tushilikiane kwa mawazo,elimu,ushauli,hata kwa hali na mali katika kusongesha guludumu la maendeleo katika wilaya yetu na Tanzania= kwaujumla mawasiliano tumia [kasodefo2009@gmail.com] simu +255759416497/+255689416497 kwa pamoja tunaweza kuleta mabadiliko.
(Not translated)

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register