Log in

/envaya/post/115497: English: CMuWDSJYjjUF1vMOBtPldiWD:content

« Previous   ·   Next »
Base (English) English
SHIMASETA bado inaendelea kujishughulisha na kazi zake za kawaida, ingawa watendaji wake hufanya kazi hizo katika hali ya kujitolea kulingana na kuwa Asasi ni changa kwa kuwa hali ya uchumi haijakua. Wito wetu kwa Asasi za kiraia nchini kuwa, kila itakapowezekana tuwe na shughuli za kujiwezesha kuongeza kipato. Tufanye kazi zetu kwa bidii na ushirikiano kwa lengo la kusonga mbele.
(Not translated)

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register