Base (Swahili) |
English |
ahasante tunaendelea kunufaika na harakati zinazo endelezwa na asasi zisizo za kiraia tanzania. kwa kweli zimekua zikishiriki moja kwa moja kwa jamii katika kutatua shida zao.mimi nikiwa mnufaika wa miradi jitihada hizo nnafurahi sasa. mafunzo hayo ya namna ya kutumia jiko hilo. nnayapeda mana mimi ni mdau wa kuhifadhio mazingira.
|
ahasante we continue to benefit from movements that are developed by non-civil tanzania. in fact has grown zikishiriki directly to the community in solving problems in my zao.mimi beneficiaries of projects such efforts joy now. training on how to use the stove. nnayapeda mana I am a member of kuhifadhio environment.
|