Base (Swahili) |
English |
Habari ndugu zetu wote! tunatumai muko sawakatika kuendeleza jamii katika nyanja mbali mbali, sisi Jumuiya ya Tawabina tunazipongeza NGO zote kwa harakati tunazoziendesha, tunawanasihi tuwe wa kweli na tutangulize maslahi ya jamii kabla ya kueka mbele maslahi yetu. maslahi yetu yatakuja baada ya kuizingati jamii yetu ya Watanzania. Hongera nyote.
|
All our brethren News! We hope muko sawakatika community development in various fields, we zipongeza Community Tawabina we all NGO movement we zoziendesha, we counselors to be true and we ngulize community interests before the interests put before us. Our interests are going after kuizingati our community of Tanzanians. Congratulations to all.
|