Log in

/envaya/post/115497: English: CMnxz2yRAawITEBzPj8R0MPk:content

« Previous   ·   Next »
Base ((unknown language)) English
Sisi Wazazi wa Watoto wenye Ulemavu wa Mtindio wa Ubongo na Viungo tunaopata huduma katika Hospitali na vituo vya CCBRT tumeamua, baada kupata semina kuhusu ulemavu wa mtindio wa ubongo na wa viungo tarehe 21/04/2012 katika Hospitali ya CCBRT Msasani ambapo pamoja na mambo mengine washiriki walijifunza kuhusu chanzo cha Ulemavu wa Mtindio wa Ubongo na viungo, tiba na malezi kwa ujumla; kuunda chama kitakachosimamia haki za watoto wenye ulemavu wa mtindio wa Ubongo akili na Viungo Tanzania, chawaumavita-kimesajiliwa april 2013 ref SA 18732 SASA tunaingia katika kampeni kubwa ya kuona haki za watoto/watu wenye ulemavu wa mtindio wa ubongo na viungo zinapatikana na jamii inakuwa na uelewa na inashiriki katika kuzipigania na kuziboresha na kuhakikisha zinapatikana.mkutano mkuu uliofanyika may 18 2013,tumedhamiria kufanya uzinduzi rasmi,tarehe siku na mahali tutazitangaza baadaye.

INTRODUCTION
Chama cha Wazazi wa Watoto wenye Ulemavu wa Mtindio wa Ubongo, Akili na Viungo Tanzania (CHAWAUMAVITA),in ENGLISH Tanzania Parents Association of children with celebral palsy was established Aprili 2012,granted full registration on april 2013 ,ref number S.A 18732. under the registral of civil society home affair ministry
We believes-“united only a solution to challenges”
Our vision is to be an altenative association for finding bettlement and progressive healthy equipmen tand service for celebral palsy children
Mission ya CHAWAUMAVITA ni
• Bring together those peoples/families with ,working or service provider of these celebral palsy children.in order to exchange views, ideas,challenges,educations,
• Provide information and education on how to eradicate traditional beliefs concerning celebral palsy..
• Assistance in legal affair and their right to members.
Thank in advance, with our motto
“united we survive”
Yours truly,,

Bw Jonathan KAWAMALA.
chairman
(Not translated)

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register