Log in

/envaya/post/115497: English: CMlrQGvZtQI4CcZI3E9IebPp:content

« Previous   ·   Next »
Base (English) English
Tanzania educational motivation alliance (TEMOA) tuna his high I lush a na uelimishaji na uhamasishaji wa maendeleo ya elimu nchini Tanzania hasa maeneo ya vijijini.
Tunafanyakazi jwa kushirikiana na wadau wote wa maendeleo ya elimu hapa nchini. Shirika letu linajifunza mengi kupitia mijadala hii na kwasasa tumeandaa mradi wa uhamasishaji utakaokwenda kwa jina la KYELA academic champions awards. tunatarajia kuwahamasisha vijana walioko shuleni kufanya vizuri ktk elimu. tunakabiliwa na changamoto ya fedha kwani shirika ni change na mpaka sasa linajiendesha kwa michango ya wanachama tu. tunaomba ushauri na msaada kwa wale watajaoguswa na suala hili
(Not translated)

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register