Log in

/envaya/post/115497: English: CM8aek5ic8acMzzv9qUlFCsh:content

« Previous   ·   Next »
Base (English) English
Poleni na kazi ya ujenzi wa taifa NGOs zote. shilika la (KASODEFO) linashukuru kwa walewote walio toa ukubari wa kufanya kazi pamoja. kwani kidole kimoja hakivunji chawa na tunaendelea kutoa ombi kwa mashilika mengine yaliyo tayali tuweze kushilikiana katika kazi ya ujenzi wa taifa letu. Tuna waomba Mwembere Noel mtupatie mawasiliano yenu mawasiliano yetu ni kasodefo2010@gmail.com simu ni 0759416497/0689416497 mwenyekiti (KASODEFO) Musa Mzopola ahsanteni sana kwa pamoja tunaweza.
(Not translated)

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register