Log in

/envaya/post/115497: English: CM4tKUCR7mNZxzXlWFb7lzXp:content

« Previous   ·   Next »
Base (English) English
Sisi ni shirika lisilo la kiserikali tumesajikiwa tangu mwaka 2014, lengo kuu likuwa ni kuhamasiha maendeleo ya elimu nchini tanzania. Tunalenga kuisaidia jamii iliyoko vijijini kuelewa umuhimu wa elimu na kupata fursa za kielimu sawa na jamii nyingine hapa nchini.
Kwasasa shirika lipo katika maandalizi ya mradi wa kuhanasisha wanafunzi kujituma katika masomo utakaofanyika katka wilaya ya kyela mkoani mbeya. Tunaonba kuungwa mkono na wadau wa elimu wote popote pale mlipo duniani hasa wakati ukifika tutaweka namna ya ushiriki wenu katika hili. Tunategemea kutumia mafunzo, mikutano, seminar, ushauri nasaha na mashindano ya michezo na midahalo miongoni mwa wanafunzi. Makao makuu yetu yapo kyela mkoani mbeya. Karibuni tushurikiane
(Not translated)

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register