Envaya

/envaya/post/115497: Kiswahili: CM1fGFAneSTXU0fy8dmc9QeG:content

Asili (Kiingereza) Kiswahili
Shimaseta baada ya kutekeleza shughuli mbalimbali kutoa elimu kwa wadau, ikiwa pamoja na masuala ya utekelezaji miradi ya utunzaji wa Mazingira, ufuatiliaji wa rasilimali za umma katika sekta Afya, miradi iliyotekelezwa kwa ufadhili wa The Foundation for Civil Society (FCS) toka mwaka 2011-2013 katika kata 7 zilizopo ndani ya Halmashauri ya wilaya Tandahimba. Pia SHIMASETA imeweza kutekeleza mradi wa kuwajengea uwezo vijana ili waweze kujiajiri katika shughuli za biashara, mradi uliofadhiliwa (ILO) mwaka 2013 katika wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara. Witowa SHIMASETA kwa wadau na mashirika ya kitaifa na kimataifa, wahisani wengine, kuweza kuisaidia SHIMASETA kwa fedha na utaalam ili Asasi isonge mbele. Karibuni sana SHIMASETA.
(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe