Log in

/envaya/post/115497: English

BaseEnglish
We, The Elders for the prevention of Aids do hereby invite any organisation which will be ready for partnership in terms of supporting and sharing knowledge and experience.(Not translated)Edit
Mikopo hiyo, tahadharini (Take care!) siyo wote wema, kuna taasisi – imejinadi kwenye envaya wanatoa mikopo na wanataka maelezo mengi (details) – za wanaotaka mikopo ya haraka! Wahoji wako wapi, wanapatikanaje na uhalali – wao ukoje, usiingine kichwakichwa utalizwa bure! Daniel Msangya, Rais wa – ARUPA(Not translated)Edit
LOAN BINAFSI NA BIASHARA LOAN Offer KUOMBA sasa. 3%. – Hello, Je, unahitaji mkopo kutoka kampuni kuaminiwa zaidi na ya kuaminika – katika dunia? kama ndiyo basi wasiliana nasi sasa kwa sisi kutoa mkopo kwa wote – makundi ya watu wanaotafuta kuwa ni makampuni au kwa ajili ya matumizi ya wafanyakazi. Tunatoa – mkopo kwa kiwango 3% riba, Wasiliana nasi kupitia barua pepe: – qmank011@gmail.com – (1) Jina kamili – (2) Full mitaani ...(Not translated)Edit
Shimaseta baada ya kutekeleza shughuli mbalimbali kutoa elimu kwa wadau, ikiwa pamoja na masuala ya utekelezaji miradi ya utunzaji wa Mazingira, ufuatiliaji wa rasilimali za umma katika sekta Afya, miradi iliyotekelezwa kwa ufadhili wa The Foundation for Civil Society (FCS) toka mwaka 2011-2013 katika kata 7 zilizopo ndani ya Halmashauri ya wilaya Tandahimba. Pia SHIMASETA imeweza kutekeleza mradi wa kuwajengea uwezo vijana ili waweze kujiajiri katika shughuli za biashara, mradi uliofadhiliwa...(Not translated)Edit
Kufanya ufuatiliaji ni jambo muhimu kuhusu mikopo. Inakuwaje uombe mkopo ikiwa Asasi haina miradi ambayo yenye kuleta faida? Tuamini, "ukikopa lipa", ukope na usilipe? Kukopeshwa bila mkopeshaji kufahamu anaekopeshwa mtu binafsi au Asasi unakopesheka/inakopesheka, haiwi sahihi.(Not translated)Edit
Sisi tunahitaji mwongozo wa kuihudumia jamii tukipata elimu hiyo ni msingi wa lengo letu.(Not translated)Edit
Sisi ni shirika lisilo la kiserikali tumesajikiwa tangu mwaka 2014, lengo kuu likuwa ni kuhamasiha maendeleo ya elimu nchini tanzania. Tunalenga kuisaidia jamii iliyoko vijijini kuelewa umuhimu wa elimu na kupata fursa za kielimu sawa na jamii nyingine hapa nchini. – Kwasasa shirika lipo katika maandalizi ya mradi wa kuhanasisha wanafunzi kujituma katika masomo utakaofanyika katka wilaya ya kyela mkoani mbeya. Tunaonba kuungwa mkono na wadau wa elimu wote popote pale mlipo duniani hasa...(Not translated)Edit
Habari ndugu zetu! Sisi ndugu zenu Jumuiya ya Tawabina (JUYATA) tunajihusisha na kuwasaidia ndugu zetu walioathirika na matumizi ya madaw aya kulevya. tunategemea kufanya sherehe ya kutimiza mwaka mmoja na zaidi kwa vijana ambao hadi sasa wanaendelea kuishi wakiwa safi pasina kutumia madawa ya kulevya, sherehe ambayo itaambatana na HARAMBEE kwa ajili ya kuzidi kuijengea uwezo Jumuiya. hivyo tunamuomba kila ambaye ana mawazo yoyote kwa ajili ya kuifanikisha sherehe na harambee hiyo awasiliane...Information brethren! We brethren Tawabina Community (JUYATA) we engage and support our brothers affected by drug use DAW paragraph. we expect to make the ceremony more fulfilling year so far for young people who continue to live with clean without using drugs, which is a feast for the increasingly Synergy build community capacity. so we asked anyone who has any ideas for the ceremony made prosperous by the synergy contact us so we can get his contribution mood. Our phone: 0715 431828 or...Edit
Thanks very much,we are in the same pipe,keep up struggling(Not translated)Edit
Easing the Pain of the Suffering of the Poor in Southern Saharan Countries – (Central Tanzania) – TUMAINI GROUP KIRUMI TANZANIA (NGO) – P.O. BOX 27 – KIOMBOI, IRAMBA – SINGIDA. – 23/12/2012 – Email Address; t.tumainigroupkirumi@yahoo.com – Webside; www.envaya.org/kirumi/projects. – Phone 255785600522 or +255753655656 – TO ANY PROJECT OFFICER, – LOCAL OR INTERNATIONAL NGO ...(Not translated)Edit
Poleni na kazi ya ujenzi wa taifa NGOs zote. shilika la (KASODEFO) linashukuru kwa walewote walio toa ukubari wa kufanya kazi pamoja. kwani kidole kimoja hakivunji chawa na tunaendelea kutoa ombi kwa mashilika mengine yaliyo tayali tuweze kushilikiana katika kazi ya ujenzi wa taifa letu. Tuna waomba Mwembere Noel mtupatie mawasiliano yenu mawasiliano yetu ni kasodefo2010@gmail.com simu ni 0759416497/0689416497 mwenyekiti (KASODEFO) Musa Mzopola ahsanteni sana kwa pamoja tunaweza.(Not translated)Edit
kujitorea napenda hasa maeneo ya vijijini kuna madudu makubwa kama ndoa za utotoni na utumishwaji watoto na unyanyasajiw a kinsia. natamani kusaidia hawa watu kishelia au kwa njia yoyote ile.sina mtaji na sijui wapi nianzie.(Not translated)Edit
karibu sana na nina imani tutazidi kusaidiana ili kufika sehemu tunayo tarajia salimia staff yako nzimavery close and I believe we will continue to help each other to reach places we'd congratulate your entire staffEdit
ni vyema kupeana uzoefu katika mbinu za fund rising hasa kwa ndani ya nchi. social cooperate responsibilty hazitimizwi na wahusika wa ndani na njeit is advisable to provide experience in the methods of fund rising especially inside the country. social responsibilty is zitimizwi cooperate with internal and external stakeholdersEdit
Tnaweza Women Group tumefurahi kupata taarifa za Tumaini Group na tukotayari kufanya kazi pamoja tupo DSM ni shirika lililo sajiliwa tangu mwaka 2009 tunaomba kama kunashirika jingine la kujiunga nasi tunawakaribisha.Tnaweza Women Group have rejoiced to find information tukotayari Hope Group and we are working with DSM is an organization which is registered since the year 2009 we pray as members of another, we invite to join us.Edit