Envaya

/envaya/post/115497: Kiswahili

AsiliKiswahili
We are dealing with the problem of the village of GULUWI and know that you are a member of the community you can assist in any way, as a subsidy to help around. contact AFSC. Email. socialchangealliancefor@gmail.com. – PROJECT TITLE – IMPROVEMENT OF PRIMARY HEALTH CARE SERVICE: CONSTRUCTION OF IGULUWI DISPENSARY PROJECT – LOCATION – IGULUWI VILLAGE, MBUGA WARD – MPWAPWA DISTRICT – PROJECT PREPARED BY – MPWAPWA DISTRICT...(Bila tafsiri)Hariri
asante sana. tunahitaji mkopo. tutawasiliana – Envaya <web@envaya.org> wrote:(Bila tafsiri)Hariri
Nitafurahi kupata loan kutoka kwa Kampuni inayotambulika kisheria na yenye – profile ya wazi. – 2017-02-19 3:24 GMT+03:00 Envaya <web@envaya.org>:(Bila tafsiri)Hariri
Sisi asasi ya Chama cha viziwi tanzania (CHAVITA) tawi la (w0 kondoa tunayo maeneo mengi ya kutekeleza mradi kama kuwapatia mafunzo ya lugha ya alama kwa wazazi/walezi ili kuwepo na mfumo wa mawsiliano kwa viziw na wazazi ila kwa jamii nyingine inatudhau sana kutokana kutokupata mafunzo hayo(Bila tafsiri)Hariri
Asanteni wote kwa maoni yenu! Endelea kutoamaoni na kujadiliana!(Bila tafsiri)Hariri
Kwa niaba ya wanachama wa sedo organization tunashukuru sana kwa kutupatia uzoefu na njia sahihi za kushirikiana na asasi mbalimbali hapa nchini katika kuendeleza asasi zetu.(Bila tafsiri)Hariri
Ili tujiendeshe wenyewe bila kutegemea wafadhili tunahitaji mawazo jinsi gani tunaweza kupata matrekta kama 5 kwa msaada au riba nafuu.(Bila tafsiri)Hariri
Sawa – Je! Unahitaji mkopo? Tunatoa kila aina ya mkopo kama mkopo wa deni, mkopo wa biashara, mkopo wa matibabu, mkopo wa nyumbani, mkopo wa mwanafunzi kiwango cha riba ya 1.5%. – Wasiliana nasi leo kupitia barua pepe kwa usaidizi wa kifedha: easyloanfirm2020@gmail.com – Kila la heri – Derek Douglas(Bila tafsiri)Hariri
Wadau wetu wa ENVAYA, mada ni namna gani tunaweza kusaidiana katika kupata rasiliamali vifaa na fedha kutoka kwa wafadhili wa ndani na nje ya nchi. Sisi CCDO tupo tayari kushirikiana nanyi wadau wa Envaya kwa lolote mtakalopendekeza kutokana na mahitaji yetu. Cha muhimu kwa sasa tunaomba kuungwa mkono kwa kutuchangia kiasi kidogo sana cha fedha kuanzia dola 10, 15, 20, 25 na kuendelea sawa na shilingi 15800Tshs kwa atakayetuchangia dola 10 za kimarekani wala sio hela...(Bila tafsiri)Hariri
Naam shirika hili sio geni katika utendaji wa kazi kama kuwafadhiri watoto wanaotoka katika mazingira magumu yaani watoto wa mtaani na watoto yatima hadi sasa shirika hili linafadhori watoto kumi ambao ni viziwi na watoto wa tatu 3 ambao wanasoma shule ya sekondari ya kigwe , – Tumekuwa tukijipatia fedha kupitia burudani ya muziki kwenye jamii inayotuzunguka . Kwa mfano mwaka jana kulikuwa na uchaguzi wa viongozi nchin tulikodisha vyombo vya muziki kwa ajili ya kampeni na tuliingiza pesa...(Bila tafsiri)Hariri
remarkable change has occured since the well addressed scenarios tagetting MDGs now after that in 2015 we target SDGs in 2030 and nobody is to be left behind in this drive towards prosperity for all. Thence my dears its imperative that we exert more effort at resource seeking and mobilisation as well as have pertinent issues addressed comprehensively in order to attain viable and sustainable synegies regardless of our localities. Therefore people and place developments must be given priori in...(Bila tafsiri)Hariri
safi sana ila bado mimi nashangaa admin wa envaya haja approval account ya – shirika langu smgeo – 2016-02-13 0:27 GMT+03:00 Envaya <web@envaya.org>:(Bila tafsiri)Hariri
Of course fundraising is an issue to many of the CBOs and NGOs in Tanzania.We PELO (Promotion of Education Link Organization) have an initiative of availing our expertise to raise funds through providing capacity building training to individuals,groups and other NGOs.We have been providing training to those who did not get secondary education to due to various reasons but already having other skills but still in need of getting secondary education.We do it by...Bila shaka kutafuta fedha ni suala kwa wengi wa CBOs na NGOs katika Tanzania.We PELO (Promotion ya Elimu ya Shirika Kiungo) na mpango wa availing utaalamu wetu na kuongeza fedha kwa njia ya kutoa mafunzo ya kujenga uwezo kwa watu binafsi, vikundi na NGOs.We wengine wana wamekuwa wakitoa mafunzo kwa wale ambao hawakuwa na kupata elimu ya sekondari kwa kutokana na sababu mbalimbali lakini tayari kuwa na stadi nyingine lakini bado katika haja ya kupata education.We...Hariri
My Organization requesting partinership with any local or International organizations so as to serve the marginalized community in social and economic development in Tanzania Mainland. The Organization Registered as a Non Governmental Organization No. 00NGO/00004768 early in 2011made under section 12(2) of no. 24 of 2002 of the United Republic of Tanzania.Shirika yangu inaomba partinership na mashirika yoyote ya ndani au ya Kimataifa ili kutumikia jamii pembezoni katika maendeleo ya kijamii na kiuchumi katika Tanzania Bara. Shirika Kusajiliwa kama No isiyo ya Kiserikali 00NGO/00004768 mapema katika 2011made chini ya kifungu 12 (2) ya hapana. 24 ya 2002 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Hariri
Dear stakeholders we are very pleased to learn that NGO can self fundraise,donors are some times big headache,they can twist you of your objectives.For us sometimes, we see donors like husbands who gives orders to his wife(NGOS or CBOS).Now we are instructed to accept same sex marriages then,we will be told to walk naked to secure funds.Its real unfaire.I guess, more than ever,we need to walk on our own feet and start fundraising from our own sources.Wadau Ndugu sisi ni radhi sana kwa kujifunza kuwa NGO unaweza binafsi fundraise, wafadhili ni baadhi ya nyakati kubwa ya kuumwa na kichwa, wanaweza pindua wewe ya objectives.For yako sisi wakati mwingine, tunaona wafadhili kama waume anayetoa amri kwa mke wake (NGOS au CBOs). Sasa sisi ni maelekezo kukubali ndoa za jinsia moja basi, sisi utaambiwa kutembea uchi kupata funds.Its halisi unfaire.I nadhani, zaidi ya milele, tunahitaji kutembea kwa miguu yetu wenyewe na kuanza kutafuta fedha kutoka...Hariri