Dondoo na Vidokezo kuhusu Uzalishaji kwa ajili ya CBOs na NGOs – Hivi ni nini kinachosababisha shirika lako liaminike? liwe katika kiwango cha kupewa ruzuku? liheshimike katika jamii kwa ujumla na pia litambulike kwenye serikali? – Kuna vitu ambavyo unaweza ukawa unavijua lakini unavipuuzia ingawa vina umuhimu sana na kazi unazozifanya katika jamii...makala hii itagusia...(This translation refers to an older version of the source text.)