Log in

/envaya/post/115497: English: CMeiILLWkW9jZmLaEUFLbJJ4:content

« Previous   ·   Next »
Base (Swahili) English
Sisi Ngelenge Development Association (NGEDEA) tupo mbali sana na mawimbi ya redio za humu nchini hivyo kukosa habari, burudani, majadiliano na michango ya wadau mbalimbali wa maendeleo. NGEDEA tumeazimia kuanzisha redio ya jamii itakayorusha mawimbi yake kwa kipenyo cha kilometa 50 tu ili kuelimisha na kukurudisha watu. Pia njia ya kutunza kumbukumbu za taarifa za maendeleo, utamaduni, historia na utalii wa maeneo yetu.

Ndugu wadau, tuaomba michango yenu ya hali na mali ili kufanikisha jambo hili. Mradi unategemea kutumia Dola za Marekani (USD) kati ya 20,000 na 25,000. Hivyo jamii tuawakaribisha. Asanteni www.envaya.org/ngedea au tuandikie athanashaule02@gmail.com
We Ngelenge Development Association (NGEDEA) we are far away from the radio waves right here in this lack of information, entertainment, discussion and contributions of various stakeholders in development. NGEDEA have committed to establish community radio waves itakayorusha its diameter of only 50 kilometers to educate and Sending people. Also a way to keep records of information on development, culture, history and tourism of our sites.

Brother partners, we ask that your contributions to the state and property to achieve this. The project is expected to use U.S. Dollars (USD) between 20,000 and 25,000. So we invite community. Thank you www.envaya.org / ngedea or write athanashaule02@gmail.com

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Translation History

Google Translate
December 6, 2012
We Ngelenge Development Association (NGEDEA) we are far away from the radio waves right here in this lack of information, entertainment, discussion and contributions of various stakeholders in development. NGEDEA have committed to establish community radio waves itakayorusha its diameter of only 50 kilometers to educate and Sending people. Also a way to keep records of information on development, culture, history and tourism of our sites. – Brother partners, we ask that your...