Log in

/envaya/post/115497: English: CMeUIzghswLhm5Xeebx5SeC5:content

« Previous   ·   Next »
Base ((unknown language)) English
Envaya mnafanya kazi nzuri ya kutoa 'tips' bila shaka ndiyo mambo ambayo MMVT imeyasimamia katika utendaji wake. MMVT inawakaribisha vijana wote na wadau wengine wa maendeleo ya vijana ili tuweze kuunganisha na kutumia taaluma zetu mbalimbali kwa lengo la kujiletea maendeleo endelevu chini ya mwamvuli wa MMVT Tanzania. Asasi imesajiliwa na inatambulika na kuheshimika kwa watu wa rika zote.
Kaulimbiu yetu...VIJANA UZALENDO KWANZA.
Mwenyekiti,
Gadi Solomon
+255 712 127 912
uzalendokwanza@yahoo.com
Upanga Mashariki, Dar es Salaam
(Not translated)

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register