Log in

/envaya/post/115497: English: CMcGTjYVKQ75UCN40Zg6iMzN:content

« Previous   ·   Next »
Base (English) English
Habari za kazi wadau wenzetu kinacho takiwa ni kufanya kazi kwa bidii na kuunganisha nguvu na kushilikiana kwa dhati katika kuleta mabadiliko katika taifa lutu sisi tukotayari kuungana kama wapo wenye dhamila ya kuunganisha nguvu. sisi tunaelimisha afya,mazingira,ujasiriamali,elimu,na haki za binadamu na utawala bora. mawasiliano +255759416497 emal:kasodefo2010@gmail.com, kwa pamoja tunaweza timiza wajibu wako.
(Not translated)

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register