Log in

/envaya/post/115497: English: CMc9S6WWbtgln9BbSMlvwICa:content

« Previous   ·   Next »
Base (English) English
Habari za kazi ya ujenzi wa taifa wadau wa NGO malanyingine katika tujikwamuwe vipi kutokana na matatizo yanayo tukabili hii elimu inayo tolewa na envaya ni muhimu tukaizingatia kwajili ya kujikwamua kutokana na changamoto zinazo tukabili. sisi tunaomba ushilikiano wenu kwa elimu,ushauli,atakusaidiana kwa hali na mali katika kuleta mabadiliko sekta ya NGOs kumbuka kidole kimoja hakivunji chawa na pia umoja ni nguvu utengano ni uzaifu.kwa yeyote anaye taka ushilika nasi tuko tayali atumie [kasodefo2009@gmail.com] au +255759416497 kwa pamoja tunaweza.
(Not translated)

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register