Log in

/envaya/post/115497: English: CMS2Rif2hCy423lDYw1aPqAU:content

« Previous   ·   Next »
Base (English) English
Naam shirika hili sio geni katika utendaji wa kazi kama kuwafadhiri watoto wanaotoka katika mazingira magumu yaani watoto wa mtaani na watoto yatima hadi sasa shirika hili linafadhori watoto kumi ambao ni viziwi na watoto wa tatu 3 ambao wanasoma shule ya sekondari ya kigwe ,
Tumekuwa tukijipatia fedha kupitia burudani ya muziki kwenye jamii inayotuzunguka . Kwa mfano mwaka jana kulikuwa na uchaguzi wa viongozi nchin tulikodisha vyombo vya muziki kwa ajili ya kampeni na tuliingiza pesa za kutosha pia kwa sasa tumeandaa Tamasha la Sikukuu ya pasaka na tuma tutapata pesa za kutusaidia kununulia baadhi ya vifaa vya kujifunzia kwa wanafunzi wetu na kuwakatia bima za afya na matibabu
(Not translated)

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register