Log in

/envaya/post/115497: English: CMQJFQFyxEwCqsBKr9lZoLqU:content

« Previous   ·   Next »
Base (Swahili) English

Wadau wetu wa ENVAYA, mada ni namna gani tunaweza kusaidiana katika kupata rasiliamali vifaa na fedha kutoka kwa wafadhili wa ndani na nje ya nchi. Sisi CCDO tupo tayari kushirikiana nanyi wadau wa Envaya kwa lolote mtakalopendekeza kutokana na mahitaji yetu. Cha muhimu kwa sasa tunaomba kuungwa mkono kwa kutuchangia kiasi kidogo sana cha fedha kuanzia dola 10, 15, 20, 25 na kuendelea sawa na shilingi 15800Tshs kwa atakayetuchangia dola 10 za kimarekani wala sio hela nyingi ili ni upendo kwa akina mama wa Iringa waishio katika mazingira magumu. Baada ya kujitolea kwenu kuungana nasi katika harambee hii ya dunia inayoendeshwa na rafiki zetu wa global giving wa Marekani tutatoa ripoti yetu kwenye website yetu ya Envaya ambayo hakika tunajivunia na inatutangaza duniani. Maelezo mengi ya wadau walioahidi kuja kushirikiana na wadau wa envaya mwakani 2013 soma www.youtheconomicopportunities.org/mapofinitiatives, WSIS (World Summitt on the Information System), na acumen fund. Wote hawa tumeungana kwa ajili ya kusdaidia mitaji kwa akina mama kupitia NGOs zitakazotaka kuwa pamoja na CCDO wakati wa shida na raha. Kama huna visa card ebu mwombe mwenzako na mwambie unajisikia raha kutuchangia japo dola 10 kwa njia ya mtandao kama maelekezo yaliyotolewa hapo juu kwenye www.globalgiving.org or www.envaya.org/ccdo kwa wadau wote wa envaya watakaoshirikiana nasi katika harambee hiyi tutafanya kila liwezekanalo kuwaalika Iringa kwenye semina maalum itakayoshirikisha wafadhili wetu toka Itali, global giving, SHK Medical, World Computer Exchange, Youth Economic opportunities, WSIS ambayo siku hiyo tutakuwa tunazindua hospital yetu na mafunzo ya ujasiliamali kwa mashirika yanayosaidia watoto, walemavu, na akina mama.
Ukishindwa kabisa kutuma mchango wako kwa njia ya mtandao ebu tuma kwa Akaunti hii ya : children Care Development Organization (CCDO), Namba ya Akaunti ni : 01J1023036400, CRDB Benki.
Kama unatatizo lolote katika kuwasilisha mchango wako tuma email kwa childrencareorg1@gmail.com simu 0754813368 / 0765568096 / 0754676264/ 0655676264.
Tunatanguliza shukurani kwa ENVAYA kwa kututoa vichakani na kutuweka kwenye digitali (utandawazi)

Envaya our stakeholders, the topic is how we can help each other in getting rasiliamali equipment and funds from donors within and outside the country. We are ready to cooperate with you CCDO partners for any Envaya a kalopendekeza for our needs. Important for now we request support for kutuchangia a very small amount of money from $ 10, 15, 20, 25 and continue straight to Shs 15800Tshs for anyone who tuchangia $ 10 USD and not across many that are loving mothers in Iringa rural environment difficult. When you volunteer to join us in this synergy of the world run by our friends in global giving the U.S. we give our report on our website Envaya which certainly we are proud to inatutangaza world. Many details of the stakeholders who promised to cooperate with stakeholders Envaya www.youtheconomicopportunities.org year 2013 read / mapofinitiatives, SIS (World SUMMITT on the Information System), and acumen fund. Both of these have been united for mothers kusdaidia capital through NGOs zitakazotaka be with CCDO time of trouble and pleasure. If you do not have visa card just ask someone to tell you feel comfortably kutuchangia least 10 dollars through the internet as the instructions given above on or www.envaya.org www.globalgiving.org / ccdo Envaya all stakeholders who collaborated with us in synergy So, we will make every possible to invite Iringa on special workshop itakayoshirikisha our donors from Italy, global giving, SHK Medical, World Computer Exchange, Youth Economic opportunities, sis that day we will be launching a hospital our training entrepreneurial organizations that help children, the disabled, and mothers.
Completely Ukishindwa send your donation through the network just sent to this account: children Care Development Organization (CCDO), Account Number is: 01J1023036400, CRDB Bank.
If you any problems send an email to submit your contribution to childrencareorg1@gmail.com call 0754813368/0765568096/0754676264/0655676264.
Tunatanguliza thanks to Envaya to us from the bushes and puts on digital (globalization)


In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Translation History

Google Translate
December 6, 2012
Envaya our stakeholders, the topic is how we can help each other in getting rasiliamali equipment and funds from donors within and outside the country. We are ready to cooperate with you CCDO partners for any Envaya a kalopendekeza for our needs. Important for now we request support for kutuchangia a very small amount of money from $ 10, 15, 20, 25 and continue straight to Shs 15800Tshs for anyone who tuchangia $ 10 USD and not across many that are loving mothers in...