Injira

/envaya/post/115497: Kinyarwanda: CMKiFVyDdNYMaD2lJjPWMQHP:content

« Inyuma   ·   Ahakurikira »
Base (Igiswayire) Kinyarwanda
Napenda kuwasalimu ndugu zangu na kuwatakia kheri ya mwaka mpya 2013,shirika letu linaitwa matumaini education development and community empowerment(MEDCE) lipo Iringa mjini.Kazi zake ni kujenga shule na kusomesha wanafunzi wanaotoka familia zenye kipato duni na watoto yatima.pia inajishughulisha na kutunza mazingira na afya katika jamii na hasa HIV/AIDS. Kwa bahati mbaya sana hadi sasa hatujafaulu kupata wafadhili na hivyo kazi zetu zinaendesha na bajeti kutoka mapato ya shule.Mafanikio tuna shule ya sek kuanzia kidato cha kwanza hadi sita,tuna shamba la miti wilaya mufindi ekari 250 zenye miti tayari. Shida yetu ni kupata ufadhili wa kujenga shule zaidi na vyuo,hivyo tunaomba msaada wa mawazo au ufadhili jinsi ya kupata hela hizo.
(Not translated)

Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe