Log in

/envaya/post/115497: English: CMHluDU02dm7po3J6QXN20as:content

« Previous   ·   Next »
Base (English) English
Mm naitwa GERRAlD MOLLEL ni mwanafunz wa kozi ya maendleo ya jamii hombolo dodoma
Mimi pamoja na wenzangu tumeanzisha asasi inayoitwa RAFiki care TANZANIA
Tunashughulika n mambo ya kijamii
Mpaka sasa tuna mda mfupi toka tuanze majukumu yetu hatuna usajili mpaka sasa
Tunahitaji kufanya kazi n mashirika ya kijamii yaliyopo dodoma
Tunahitaji uzoefu katika kufanya kazi za kijamii tunaombeni.sapoti kutoka kwenu
(Not translated)

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register