Envaya

/watu/topic/123329/add_message: Kiswahili: dMDLxl42Lx4p8soiAkY48qzY:content

Asili (Kiswahili) Kiswahili

[1]. Kujenga wanawake,watoto,wazee,vijana katika uwezo wa kiuchumi,kielimu na uongozi

[2]. kusaidia kuboresha afya za wanawake wajawazito,watoto na jamii kwa ujumla kwa   
       kuwapa eliumu kuhusu lishe,kujikinga na maradhi.

[3].kuboresha hali ya lishe,uzalishaji na usindikaji wa chakula kwa kusaidia na tiba katika

      kilimo na ufugaji.

[4]. kuboresha mazingira na usafi wanapoishi na mazingira ya kufanyia kazi.

[5]. Kukuza vipaji vya watoto wa kike wanawake na vijana kwa ujumla kwa kufuatilia semina
       na mafunzo mbalimbali kutambua vipaji vyao na masoko.

[6]. Kuhamasisha uendelezaji wa michezo mbalimbali sanaa na utamaduni mashuleni, vyuoni
       vijijini.

[7]. Kupinga na kukemea aina zote za unyanyasaji wa kijinsia,uonevu na uvunjaji wa haki za
       binadamu kufanya jamii itambue haki zao na kuwapeleka kunakohusika.

[8]. Kusaidia kujenga hali ya amani,upendo na ushirikiano kwa kutumia wataalamu
      mbalimbali katika kutoa elimu kwa jamii.

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe