About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/hakielimu/news
: English
Base
English
(image) ...
(Not translated)
Edit
Breaking News: Serikali yatoa tamko dhidi ya jaribio la walimu la kutaka kugoma, yasema mgomo huo sio halali... http://t.co/XFLulHim
(Not translated)
Edit
Mgomo wa walimu uko pale pale,“Walimu wataanza mgomo rasmi Jumatatu (kesho), kwa kubaki nyumbani bila ya kwenda... http://t.co/iTPkv7aT
(Not translated)
Edit
@godnyam Wazo lako linaweza likawa ni moja ya suluhisho ya migogoro inayoendelea katika sekta mbalimbali za umma nchini "Mikataba mifupi"
(Not translated)
Edit
@lilianruga Hapana mdau kunani tunduma/mbozi tujuze pia tembelea facebook page yetu kuona hali ilivyo sehemu nyinginezo nchini ! tujuze
(Not translated)
Edit
Walimu na wadau wa elimu kona zote nchini tupeni taarifa ya mgomo wa walimu katika maeneo mliyopo ! Mfano hapa... http://t.co/gUhb86TG
(Not translated)
Edit
@godnyam Tupo pamoja kaka pia shukrani za kipekee kwa rafiki wetu muhimu @RNMsuya bila kumsahau @justpendo mjadala ulikuwa poa #OkoaElimu
(Not translated)
Edit
Kama walishindwa kuwasikililiza madaktari wanaoshikilia uhai wa wananchi je watawasikiliza walimu wanaojenga taifa la kesho? #OkoaElimu
(Not translated)
Edit
I posted a new photo to Facebook http://t.co/egiLF51P
(Not translated)
Edit
I posted a new photo to Facebook http://t.co/1FkIgyCd
(Not translated)
Edit